Aloyce Goden Kipangula
Aloyce Goden Kipangula
  • 80
  • 18 576 379

Відео

Nyimbo za Sifa na Shukrani Kwa Mungu. Chang'ombe Catholic Singers DSM Tz. Mratibu Aloyce Kipangula
Переглядів 27 тис.3 місяці тому
Mkusanyiko wa Nyimbo za Sifa na Shukrani kwa Mungu wetu Zilizotungwa na Ndugu Aloyce Goden Kipangula, Stanslaus Mujwahuki, na Fr Aloyce Msigwa. Hawa ni Watunzi Mahili wa Nyimbo za Kikatoliki (Nyimbo za Injili au Nyimbo za Dini) Kutoka Nchini Tanzania Nyimbo hizo ni UKUU WA MUNGU TWAUSHANGILIA, NINAYO KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU, BABA POKEA SIFA NA SHUKRANI, MEMA UMETUJALIA, MSIFUNI BWANA, A...
NITASIKIA TOKA MBINGUNI - Aloyce Kipangula (Kwaresma)
Переглядів 3 тис.5 місяців тому
Ikiwa watu wangu, waliyoitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. ( 2 Nya 7:14) Mimi na familia yangu,Tunawatakia Kwaresma njema. #nyimbozakwaresma #nyimbozainjili #kanisakatoliki #catholicmusic #kwaresma #rent
NYIMBO ZA KWARESMA TOLEO LA PILI.Mratibu Aloyce Kipangula Waimbaji Chang'ombe Catholic Singers Dar
Переглядів 62 тис.6 місяців тому
Nyimbo za Kwaresma Toleo la Pili Mratibu- Aloyce Kipangula Nyimbo hizi ni Tafakari nyingine Mpya inayokusudiwa kutusaidia kuwa Karibu zaidi na Mungu Toba, Sala na Mapendo kwa wenzetu. Tukiendelea kutafakari Hasa kipindi hiki Cha Kwaresma basi kila mmoja anakumbushwa kuhusu kumkaribia Mungu mwenye Huruma na kupatanishwa Naye kwa njia ya Kristo NILIYEKULETEA TAFAKARI HII NI MIMI ALOYCE GODEN KIPA...
Mbali Kule Nasikia-Traditional. Waimbaji Chang'ombe Catholic Singers Dar. Mratibu Aloyce Kipangula
Переглядів 1 тис.7 місяців тому
Mbali Kule Nasikia-Traditional. Wimbo Mzuri wa Christmas Noel#romancatholic#catholicmusic#kanisakatoliki#nyimbozainjili christmassongs#christmas
WACHUNGAJI WAKAENDA KWA HARAKA- By S. Mujwahuki.Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu Aloyce Kipangula
Переглядів 1,6 тис.7 місяців тому
Wachungaji wakaenda kwa Haraka wakamkuta Maria na Yosefu na Yule Mtoto Mchanga amelala Horini. Mtunzi ni Stanslaus Mujwahuki. Ni Kati ya Nyimbo Nzuri sana za Christmas 🎄 Noel#romancatholic#catholicmusic#gospelm#christmassongs#gospelmusic# #nyimbozainjili#christmas
TUMWIMBIE MWANA WA MUNGU- Fr. Ntapambata (Lyrics video with English translation)
Переглядів 1,4 тис.7 місяців тому
#christmas #noel #christmassongs #nyimbozainjili #nyimbozakatoliki
HAYA TWENDENI WOTE KULE BETHLEHEM TUKAMWONE MKOMBOZI (CHRISTMAS NOEL) Chang'ombe Catholic Singers
Переглядів 2,9 тис.8 місяців тому
HAYA TWENDENI WOTE KULE BETHLEHEM TUKAMWONE TUKAMWONE MKOMBOZI WETU X2 By I. P Nganga(Lyrics video with English translation) Ni wimbo wa Kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo.(Christmas 🎄 Noel) Ulioimbwa na Chang'ombe Catholic Singers kwa Uratibu wa Aloyce Goden Kipangula #christmas#christmassongs #nyimbozakatoliki #romancatholic #catholicsongs
NYIMBO ZA KRISMAS (NOEL) | CHANG'OMBE CATHOIC SINGERS MRATIBU: ALOYCE GODEN KIPANGULA
Переглядів 25 тис.8 місяців тому
Nyimbo za Christmas 🎄 Noel Zilizorecodiwa na Chang'ombe Catholic Singers. 1.Tumwimbie Mwana wa Mungu-Fr Ntapambata 2 Mbali kule Nasikia-Traditional 3 Aleluya Tushangilie -F A Nyundo 4 Wachungaji wakaenda kwa Haraka- S.Mujwahuki 5 Haya Twendeni wote- I P. Nganga MRATIBU: ALOYCE KIPANGULA#catholicmusic#romancatholic #gospelmusic#kanisakatoliki#nyimbozainjili kanisakatoliki#Christmasnoel#christmas...
Bikira Maria:SALAMU MARIA, F NYUNDO.MARIA:CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM:Mratibu-Aloyce G Kipangula
Переглядів 15 тис.11 місяців тому
Bikira Maria:SALAMU MARIA, F NYUNDO.MARIA:CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM:Mratibu-Aloyce G Kipangula
NINAYO KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU MTUNZI: ALOYCE KIPANGULA WAIMBAJI:CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS
Переглядів 93 тис.11 місяців тому
NINAYO KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU MTUNZI: ALOYCE KIPANGULA WAIMBAJI:CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS
NYIMBO ZA EKARISTI TAKATIFU.Chang'ombe Catholic Singers.Watunzi S.Mujwahuki/Aloyce Kipangula
Переглядів 79 тис.Рік тому
NYIMBO ZA EKARISTI TAKATIFU.Chang'ombe Catholic Singers.Watunzi S.Mujwahuki/Aloyce Kipangula
Pasaka:HII LEO UTUKUFU WAKE MUNGU.S Mujwahuki.Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu Aloyce G Kipangula
Переглядів 4 тис.Рік тому
Pasaka:HII LEO UTUKUFU WAKE MUNGU.S Mujwahuki.Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu Aloyce G Kipangula
Pasaka.Jiwe walilokataa waashi.B Simfukwe,Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu Aloyce Goden Kipangula
Переглядів 21 тис.Рік тому
Pasaka.Jiwe walilokataa waashi.B Simfukwe,Chang'ombe Catholic Singers.Mratibu Aloyce Goden Kipangula
Pasaka: NIMEFUFUKA NA NINGALI PAMOJA NAWE.By Bimanywenda.Changombe Catholic Singers.Aloyce Kipangula
Переглядів 12 тис.Рік тому
Pasaka: NIMEFUFUKA NA NINGALI PAMOJA NAWE.By Bimanywenda.Changombe Catholic Singers.Aloyce Kipangula
PASAKA:Chereko chereko Bwana Amefufuka.By M.B Msike. Chang'ombe Catholic Singers.Aloyce G. Kipangula
Переглядів 17 тис.Рік тому
PASAKA:Chereko chereko Bwana Amefufuka.By M.B Msike. Chang'ombe Catholic Singers.Aloyce G. Kipangula
LAKINI HATA SASA (WITH ENGLISH TRANSLATION) By ALOYCE GODEN KIPANGULA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS
Переглядів 4,1 тис.Рік тому
LAKINI HATA SASA (WITH ENGLISH TRANSLATION) By ALOYCE GODEN KIPANGULA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS
NYIMBO ZOTE ZA KWARESMA ZILIZOIMBWA NA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.Mratibu- Aloyce Kipangula
Переглядів 620 тис.Рік тому
NYIMBO ZOTE ZA KWARESMA ZILIZOIMBWA NA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.Mratibu- Aloyce Kipangula
YESU NAJITOLEA KWAKO MWILI NA ROHO. By C Kidanka.Chang'ombe Catholic Singers. Mratibu Aloyce Goden.
Переглядів 47 тис.Рік тому
YESU NAJITOLEA KWAKO MWILI NA ROHO. By C Kidanka.Chang'ombe Catholic Singers. Mratibu Aloyce Goden.
NYIMBO ZA KATOLIKI: MTUNZI ALOYCE GODEN KIPANGULA TOLEO LA 2. KWAYA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM
Переглядів 105 тис.Рік тому
NYIMBO ZA KATOLIKI: MTUNZI ALOYCE GODEN KIPANGULA TOLEO LA 2. KWAYA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM
NYIMBO ZA KIKATOLIKI- Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM Mratibu ALOYCE GODEN KIPANGULA
Переглядів 234 тис.2 роки тому
NYIMBO ZA KIKATOLIKI- Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM Mratibu ALOYCE GODEN KIPANGULA
NIMEWALISHA KWA UNONO-By S Mujwahuki.Wimbo wa EKARISTI.Waimbaji Dsm Chang'ombe Catholic Singers
Переглядів 5 тис.2 роки тому
NIMEWALISHA KWA UNONO-By S Mujwahuki.Wimbo wa EKARISTI.Waimbaji Dsm Chang'ombe Catholic Singers
UJE ROHO MUUMBAJI TRADITION.(Roho Mtakatifu)CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS Mratibu ALOYCE G. KIPANGULA
Переглядів 18 тис.2 роки тому
UJE ROHO MUUMBAJI TRADITION.(Roho Mtakatifu)CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS Mratibu ALOYCE G. KIPANGULA
EKARISTI:ALTARE KWA BWANA YESU-CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM TZ.Mratibu ALOYCE KIPANGULA
Переглядів 21 тис.2 роки тому
EKARISTI:ALTARE KWA BWANA YESU-CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM TZ.Mratibu ALOYCE KIPANGULA
EE MAMA YETU MARIA,Mtunzi PF MWARABU, Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM.NYIMBO ZA MAMA MARIA
Переглядів 5 тис.2 роки тому
EE MAMA YETU MARIA,Mtunzi PF MWARABU, Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM.NYIMBO ZA MAMA MARIA
Bikira Maria-EWE MAMA MARIA. Mtunzi PF MWARABU.CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM- Aloyce Kipangula
Переглядів 7 тис.2 роки тому
Bikira Maria-EWE MAMA MARIA. Mtunzi PF MWARABU.CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM- Aloyce Kipangula
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA.Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.MRATIBU ALOYCE GODEN KIPANGULA. DSM
Переглядів 1,3 млн2 роки тому
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA.Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.MRATIBU ALOYCE GODEN KIPANGULA. DSM
NYIMBO ZA PASAKA, UFUFUKO,KUFUFUKA YESU, CHEREKO, JIWE,NIMEFUFUKA.CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS,ALOYCE
Переглядів 146 тис.2 роки тому
NYIMBO ZA PASAKA, UFUFUKO,KUFUFUKA YESU, CHEREKO, JIWE,NIMEFUFUKA.CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS,ALOYCE
NIMEUMBWA KWA AJILI YAKO (Kwaresma) with ENGLISH TRANSLATION-by Aloyce Chang'ombe CatholicSingers
Переглядів 14 тис.2 роки тому
NIMEUMBWA KWA AJILI YAKO (Kwaresma) with ENGLISH TRANSLATION-by Aloyce Chang'ombe CatholicSingers
Nyimbo za Kwaresma: Huruma ya Bwana Pf mwarabu(With English translation) changombe catholic singers
Переглядів 6 тис.2 роки тому
Nyimbo za Kwaresma: Huruma ya Bwana Pf mwarabu(With English translation) changombe catholic singers

КОМЕНТАРІ

  • @user-cz5qh2um4k
    @user-cz5qh2um4k День тому

    Nyimbo hii imenibariki sana ni kweli ninakilasababu ya kumwambia MUNGU ASANTE.KWA YOTE ALIYONITENDEA

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula День тому

      Asante Veneranda Endelea Kutuombea Ili utume wetu huu endendelee kwa sifa na utukufu wa Mungu

  • @user-sn7rv6ym1m
    @user-sn7rv6ym1m День тому

    Kwa kweli hii nyimbo ni nzuri,ndio mara ya kwanza asubuhi hii naskiliza,kweli kazi ya mungu inapendeza,mungu tunakushukuru,hongera sanaa❤

  • @MANIRAGUHAChristine-m1j
    @MANIRAGUHAChristine-m1j 2 дні тому

    B Good 🎉❤😊

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 5 днів тому

    Asante Yesu wa Ekarist

  • @florencemutuku196
    @florencemutuku196 5 днів тому

    Ni. Na ayo sababu ya kumwambia Mungu asante

  • @SophiaKadege
    @SophiaKadege 5 днів тому

    Balikiwa sana

  • @christinamichaeli4181
    @christinamichaeli4181 6 днів тому

    🎉❤😢😂😮

  • @nancymwangi9438
    @nancymwangi9438 6 днів тому

    Am an Anglican but these songs are my source encouragement having gone through so much in life God bless you the composer

  • @aubreychuma5449
    @aubreychuma5449 7 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @mbagakasereka3623
    @mbagakasereka3623 8 днів тому

    From Madagascar

  • @wilssoncharless
    @wilssoncharless 8 днів тому

    Hakika Ina letaraha sana

  • @KiaraDaya
    @KiaraDaya 8 днів тому

    Yesu ni mfalme daima

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому

    Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao

    • @Jimmsuva-be5dc
      @Jimmsuva-be5dc 10 днів тому

      @@JohnMrutu hapana ni the glorious catholic singers pia Familia takatifu mwenge waliimba unaitwa Hakuna kama Mungu wa P. Mboye

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula 9 днів тому

      Huo wimbo unaousema hatukuimba Sisi Chang'ombe

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому

    Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому

    Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao

  • @JohnMrutu
    @JohnMrutu 10 днів тому

    Aaaameeeen

  • @benedictrkorosso153
    @benedictrkorosso153 10 днів тому

    Wakati nilipo pitia magumu na ninapopitia magumu mdao wote nyimbo hii hua inanifariji. asante kwa kuitunga

  • @johnmusenje
    @johnmusenje 11 днів тому

    Mmeniliza mbarikiwe

  • @phennynyash352
    @phennynyash352 11 днів тому

    Asante mama Marie uliye muombezi wetu...

  • @ChristianChesco
    @ChristianChesco 12 днів тому

    Ubalikiwe sana

  • @EMILYMONYANGI-y4h
    @EMILYMONYANGI-y4h 13 днів тому

    A very beautiful song l❤it may God bless all of u100%

  • @user-qi6ql1lp9k
    @user-qi6ql1lp9k 13 днів тому

    Mbalikiwe sana kwa utuzi mzuli na wenye mafundisho yalio tukuka

  • @user-qi6ql1lp9k
    @user-qi6ql1lp9k 13 днів тому

    Ubalikiwe sana mtumishi wa mwenyezi Mungu

  • @DevisDeus-k4i
    @DevisDeus-k4i 14 днів тому

    Amina

  • @aloycejoseph-wn9wp
    @aloycejoseph-wn9wp 14 днів тому

    Wimbo wa toba 2024

  • @JamesLubambe
    @JamesLubambe 15 днів тому

    Mwenyezi mungu ni hurumie mm ni mwenye dhamb

  • @user-lq3hn8jk4k
    @user-lq3hn8jk4k 15 днів тому

    Dear st Antony,our lady of the impossible pray for my healing,a new home,protection,the hatred between my family members.

  • @ellykanael7924
    @ellykanael7924 16 днів тому

    Nimeupenda wimbo hu sana nausikilza kila wakati Mungu wa Mbingun Awabariki sanaa waimbaji

  • @NsayizeyeEmphasis
    @NsayizeyeEmphasis 16 днів тому

    Hiz nyimbo ninzul San wandugu zang ongea

  • @YvesNdayizeye-ys1yf
    @YvesNdayizeye-ys1yf 17 днів тому

    Mimi sio catholique lakini iyi nyimbo nayipenda sana MUNGU awabaliki

  • @bencomkyando1106
    @bencomkyando1106 17 днів тому

    Mama Maria mama yetu sote

  • @danielowino2650
    @danielowino2650 18 днів тому

    Touching and healing song

  • @monicakavete4931
    @monicakavete4931 18 днів тому

    Mwezi WA Rosary ,Mama Maria tuombee Sisi wakosefu

  • @salalagonzales5203
    @salalagonzales5203 19 днів тому

    ❤❤ YOU MY TRUTH, MY WAY AND MY LIFE. TEACH ME TO LOVE YOU FOREVER.

  • @RisperAchoki-xz3hf
    @RisperAchoki-xz3hf 19 днів тому

    Nice song

  • @user-hv7tn9vy3u
    @user-hv7tn9vy3u 20 днів тому

    Nikiwa nasikiliza huu Wimbo namkumbuka bibi yangu Marehemu naupenda sana huu Wimbo

  • @MaryMulwa-v2y
    @MaryMulwa-v2y 22 дні тому

    Bwana azidi kutupa nguvu na uwezo wa kumtumikia

  • @JuliusMalunde
    @JuliusMalunde 22 дні тому

    Barikiwa sana ndugu nyimbo nzuri na zinatutafakarisha vyema

  • @AgripinaSwai-h5x
    @AgripinaSwai-h5x 22 дні тому

    Ninakuabudu ninakutukuza na ninakupenda, Ee Moyo wa Yesu wangu mpenzi.

  • @matildamasinda9758
    @matildamasinda9758 24 дні тому

    😢😢😢🎉🎉

  • @matildamasinda9758
    @matildamasinda9758 24 дні тому

    Wow 😢 that's butifull you May be blessed yawe ❤👼

  • @NanuryaFl0rence
    @NanuryaFl0rence 24 дні тому

    Mimi biiatrice floincoaz tusabe mama Maria Union bee najamayangu

  • @margaretmbatha9864
    @margaretmbatha9864 25 днів тому

    His unconditional 💕love regardless of our inquities 😭

  • @margaretmbatha9864
    @margaretmbatha9864 25 днів тому

    😭😭😭29/7/2024❤❤❤❤😭😭😭😭🙏🙏🙌✌️🇰🇪😭😭😭😭😭

  • @margaretmbatha9864
    @margaretmbatha9864 25 днів тому

    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AbdallahRashidi-c6n
    @AbdallahRashidi-c6n 25 днів тому

    Nihurumie baba

  • @sebastiankanga4869
    @sebastiankanga4869 26 днів тому

    Mungu akupe maisha marefu

  • @RuterangwaKabanda
    @RuterangwaKabanda 26 днів тому

    Iyo masanamu mbili iko kwa chapelet munavaa kwa vifuwa ni wongo sana na wengine wanatiya kwa vitabo vya kanisa zawo ni ule bandi aliye ceza film yenye waliita film ya Yesu Kristo wakamulipa pesa. Munavaa sanamu zile zenye kuwa kwa chapelet ku vifuwa vyenu => Ezekyeli 21 : 28-29 => 2 Deuteuromes 7 : 25-26

  • @esther9968
    @esther9968 27 днів тому

    Pray for us dearest mother of God interceed for us

  • @emmanuelchome7298
    @emmanuelchome7298 28 днів тому

    nataka huo wimbo wa kwanza pekee audio